Minecraft
Minecraft ni mchezo wa video uliofanywa na Markus "Notch" Persson wa Sweden.
Mwaka 2015, Notch alistaafu na kuuza kampuni yake, Mojang, kwa Microsoft kwa $ bilioni 2.5.
Huu ni mchezo wa kuvunja matofali. Mchezaji anaweza kuvunja matofali yaliyo kokote duniani, pia anaweza kurudisha matofali na kuyaboresha zaidi. Mchezaji anatakiwa kutumia vifaa maalum kama vile shoka.
Mchezo huu ulitolewa kwenye Xbox 360 kama mchezo wa Xbox Live Arcade mnamo Mei 9, 2012. Ilitolewa kwa PlayStation 3 tarehe 17 Desemba 2013, na PlayStation 4 tarehe 4 Septemba 2013.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minecraft kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMartha KaruaSensaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMikoa ya TanzaniaAina za manenoVitendawiliVivumishiKamusi za KiswahiliShairiMawasilianoNominoKisaweNgeli za nominoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaLughaSilabiOrodha ya makabila ya TanzaniaNomino za kawaidaKamusiFasihi simuliziNomino za pekeeKitenziVivumishi vya sifaTanzaniaTamthiliaWilliam RutoFasihi